November 11, 2013




Katibu Mkuu wa zamani wa timu ya Simba, Hassan Othman ‘Hassanoo’ leo ameshinda kesi ya wizi wa shaba ya zaidi ya shilingi milioni 300.


Kesi hiyo iliyokuwa ikimkabili kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es salaam, ilihudhuriwa na watu wengi kwa kuwa walijua leo ni siku ya hukumu.
SALEH AKIRUDISHWA GEREZANI


Katika kesi hiyo mshitakiwa wa pili alikuwa ni baba mkwe wa Hassanoo aitwae Dokta Najim Kisega na mshitakiwa wa tatu alikuwa Wambura Mahenya Kisiroti. 
WAMBURA AKIPONGEZWA NA NDUGU ZAKE

Baada ya hakimu, Sundi Fimbo kuwaachia huru wote watatu maafande wa Jeshi la Magereza waliendelea kumng'ang'ania Hassanoo kwa ajili ya kesi ya meno ya tembo na mwisho wakamrudisha gerezani.

PICHA NA RICHARD BUKOS WA CHAMPIONI/GPL

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic