November 24, 2013





Ismail Aden Rage amemteua Michael Wambura katika kamati ya utendaji ya Simba.
 
Pamoja na hivyo, amempa nafasi ya Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini, Rahma Al Kharusi maarufu kama Malkia wa Nyuki.

Nafasi ya kamati hiyo ilikuwa ya Malkia wa nyuki lakini amempeleka na kuwa mjumbe wa bodi ya wadhamini.

Wambura amewahi kuwa katibu mkuu wa Simba na ndiye alikuwa mtu wa kwanza kumshinda Rage katika nafasi ya ukatibu mkuu wa Chama cha Soka Tanzania (FAT).

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic