December 12, 2013





Kama Arsenal ingefungwa bao la tatu, basi ndoto za kucheza Ligi ya Mabingwa hatua ya 16 Bora zingetoweka.
Lakini kipigo cha 2-0 kutoka kwa Napoli, bado wamevuka kwenda hatua ya 16 Bora huku Napoli wakiangua kilio kwa kushindwa kuongeza bao moja tu.


Tofauti ya timu hizo imekuwa ni mabao ya kufunga na kufungwa lakini zote zina pointi 12.
Baada ya mechi hiyo wachezaji wa Napoli waliangua kilio wakiongozwa na Gonzalo Higuain.



Napoli: Cabral 6, Maggio 6, Armero 7, Behrami 6, Fernandez 6, Albiol 7, Mertens 6, Dzemaili 6, Higuain 6, Pandev 5 (Insigne 57 6), Callejon 7
Subs not used: Uvini, Britos, Colombo, Cannavaro, Inler, Zapata
Booked: Mertens, Dzemaili, Fernandez
Goal: Higuain 73, Callejon 90
Arsenal: Szczesny 6, Jenkinson 6, Gibbs 6, Arteta 7, Mertesacker 8, Koscielny 7, Rosicky 6 (Monreal 74 6), Flamini 7, Giroud 6, Ozil 6, Cazorla 6 (Ramsey 67 6)
Subs not used: Vermaelen, Wilshere, Walcott, Monreal, Fabianski, Bendtner
Booked: Arteta, Giroud, Ramsey
Sent off: Arteta 76
Referee: Viktor Kassai
Attendance: 47,000.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic