Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji
ameitisha mkutano na waandishi wa habari muda huu.
Taarifa zinaeleza tayari waandishi
wameanza kufika katika makao makuu ya Yanga Jangwani jijini Dar.
Haijajulikana Manji atazungumzia suala
lipi baada ya yanga kupokea jana kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa watani wake
Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe.
Tuliza boli, tutakueleza.
Sawa jembe letu salehe tunatuliza boll utujuze blog tumeipenda manake km tupo sehemu ya tukio unavyotup habar mung akubarik
ReplyDeletenahisi anataka kuvua gamba maana aliahidi kurudisha zile bao 5 lakin ameshindwa pamoja na kuchukua wachezaji waliokuwemo kwenye bao 5 kama kaseja,okwi na yondani lakini wanaonekana si lolote kw simba ndo wanazidi kupigwa, tuone nn kitatokea kama siyo yy basi kaseja hana chake pale aende gor mahia kenya akatulize akili.
ReplyDelete