Kikosi cha Kilimanjaro Stars kimefuzu
hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Chalenji kwa kuitwanga Burundi
kwa bao 1-0.
Samatta na Thomas Ulimwengu
wamejiunga na Stars juzi wakitokea DR Congo wanakoichezea TP Mazembe.
Stars ilianza mechi ya kwanza kwa
sare ya bao 1-1 dhidi ya Zambia, kabla ya ushindi wa kwanza dhidi ya Somalia
ambayo waliilaza kwa bao 1-0.
Kwa ushindi wa leo maana yake Stars
imefikisha pointi saba ambazo ni uhakika kwenda katika hatua ya robo fainali.
0 COMMENTS:
Post a Comment