December 23, 2013



 
LUNYAMILA WAKATI ANAKIPIGA YANGA..
Hali ya winga nyota wa zamani wa Yanga na Simba, Edibily Lunyamila si nzuri na amelazwa katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar.
 
Lunyamila ambaye kwa sasa ni mchambuzi wa masuala ya soka katika gazeti la CHAMPIONI anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo na taarifa tulizozipata sasa, amewekewa mashine za oxygen kumsaidia kupumua.
Mdogo wake aitwaye amesema Lunyamila anaendelea na matibabu ingawa hali yake si nzuri.
EEH MWENYEZI MUNGU TUNAKUOMBA MSAIDIE APONE HARAKA

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic