December 21, 2013




Mshambuliaji mpya wa Yanga, Emmanuel Okwi ameingia na kuwasalimia mashabiki wa Yanga huku akizungumza nusu uwanja wa upande wake.
 
Okwi amepita upande wa mashabiki wa Yanga nao wkaasimama wakimshangilia kwa nguvu naye akawapungia mkono.
Lakini baada ya kumaliza kuwasalimia aligeukia upande wa Simba akiwa katikati ya uwanja na kuwapungia mkono Simba, nao wakamshangilia kwa nguvu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic