December 21, 2013





Idadi kubwa ya watu imejitokeza kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar leo katika mechi ya nani Mtani Jembe inayopigwa baada ya muda mchache.
 
Yanga wanaonekana kujiamini zaidi kwa kuwa wako kwa wingi uwanjani hapa huku Simba wakionekana kuwa wachache ingawa tofauti haiwezi kuwa 50%.


Shangwe na vurugu za mashabiki kwa mbaali zimeanza kutokea lakini inaonekana watu wa ulinzi wako makini zaidi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic