Mchezaji bora wa kike wa dunia ambaye
amechukua nafasi hiyo baada ya kubeba tuzo ya Ballon D’or leo jijini Zurich,
Uswiss ni kipa wa timu ya taifa ya Ujerumani, Nadine
Angerer.
Nadine ambaye pia ni kipa bora wa
Ulaya, aliiwezesha Ujerumani kubeba ubingwa wa Ulaya baada ya kutoa penalti
mbili katika fainali dhidi ya Norway.
0 COMMENTS:
Post a Comment