ANGALIA MASHABIKI CITY WALIVYOMYIMA JOSE MOURINHO PARKING MAPEMAAA..SI WANAMJUA WANAJUA KAZI YA MOURINHO, MASHABIKI CITY WAKAAMUA KUTANGAZA MAPEMA KUWA HAKUNA KUEGESHA BASI CHELSEA WAKIINGIA NA BASI LAO ETIHAD... KAMANDA MOURINHO NAYE NDANI YA NYUMBA WENYEJI CITY WAKIINGIA ETIHAD KAZI IPO HUMU
0 COMMENTS:
Post a Comment