Mshambuliaji nyota wa PSG, Zlatan
Ibrahimovic amemmtumia mwenzake Cristiano Ronaldo zaidi bomba ya tisheti katika
siku ya kuadhimisha miaka 29 ya kuzaliwa.
Fulana hiyo iliyoandikwa 'Dare To
Zlatan' ambayo ina udhamini wa Nike sawa na ule we Ronaldo ilipokelewa kwa
furaha kubwa na Mreno huyo.
“Nashukuru sana kwa zawadi ya siku ya
kuzaliwa, kwangu ni zawadi bora kuliko unavyofikiria,” alisema Ronaldo.
0 COMMENTS:
Post a Comment