March 30, 2014

MPIRA UMEKWISHAAAAAA
Dk 82 Azam wanaanza kujiangusha wakionyesha kuridhika na bao mbili
Dk 78, Awadhi Juma anapiga shuti karibu kapisa na lango lakini Aishi Manula anaokoa na kuwa kona, lakini tasa

Dk 75 Uhuru krosi saaafi, Awadhi Juma yeye na kipa anapaisha buuu

Dk 72 Kipre anamtoka Gallas na kupiga shuti kali linatoka nje pembeni kidogo

Dk 70 Twaha anawatoka mabeki wa AZAM lakini anashindw akumalizia
dK 65, sIMBA wanamtoa Singa 'messi' anaingia Ibrahim Twaha 'MESSI'.

Dk 60, Jonas anapiga shuti kali lakini linatoka sentimeta chache nja ya lango la AZAM

GOOOOOOO Dk 56, Bocco anaifungia Simba bao baada ya mpira wa shuti uliopigwa na Kipre kugonga mwamba na kurudi.

Dk 54, Uhuru anawachambua mabeki watatu wa Azam anampa mpira Tambwe lakini anashindwa kumalizia.
Dk 52, Azam wanamtoa Mcha, Kelvin Friday anaingia

Dk 47 Simba wameanza kipindi cha pili wakiwa wamepunguza kasi, Azam wanaonekana kufunguka na kushambulia zaidi
MAPUMZIKO
Sasa ni mapumziko lakini timu zimemaliza dakika 90 kwa sare ya 1-1.

Azam walitangulia kufunga katika dakika ya dakika ya 16 Hamis Mcha

Simba wakasawazisha kwa kichwa Dakika ya 45, Joseph Owino

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic