Sura za
nyota wa Barcelona zilikuwa sawa na watoto wa shule waliokosa chakula wakati
wakitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Barcelona wakirejea kutokea Madrid.
Huko walipata
kipigo cha bao 1-0 ambacho kiliwaondoa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa
Ulaya.
Muda wote
walikuwa wamejiinamia kama watu wanaoona haya baada ya kufanya jambo baya
ambalo halitakiwi katika jamii.
![]() |
| HUYU NI KOKE WA ALTETICO MADRID AMBAYE ALIWAUA BARCA, HAPA ANAKIMBIA KWENDA KUSHANGILIA BAADA YA KUFUNGA. |











0 COMMENTS:
Post a Comment