April 18, 2014


Mechi ya kufunga Ligi Kuu Bara kati ya mabingwa, Azam FC dhidi ya JKT Ruvu kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi itakuwa bure.

Uongozi wa Azam FC umepeleka ombi lake kwa Bodi ya Ligi na limekubaliwa kuwa mechi hiyo itakuwa haina kiingilio.
Lengo la Azam FC ni kukabidhiwa kombe na imewapa nafasi wananchi kujitokeza kwa wingi ili kuishuhudia ikikabidhiwa kombe la ubingwa wa Ligi Kuu Bara ambalo imelitwaa kwa mara ya kwanza.
Azam imelitwaa kombe hilo baada ya kuifunga Mbeya City kwa mabao 2-1 katika mechi iliyochezwa mjini Mbeya wiki iliyopita.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic