April 1, 2014




Mechi mbili za robo fainali Ligi ya Mabingwa, zote zimemalizika kwa sare inayofanana.

Manchester United ikiwa nyumbani imemaliza kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Bayern Munich, halikadhalika Barcelona ikiwa Camp Nou imetoka sare kama hiyo.




Katika mechi ya Old Trafford, wenyeji walikuwa wa kwanza kupata bao katika dakika 58 lililofungwa kwa kichwa na nahodha Nemanja Vidic lakini wageni wakasawazisha kupitia Schweinsteiger.
Katika Uwanja wa Camp Nou, wageni walianza kupata bao katika dakika ya dakika ya 56 kupitia Diego kabla ya Neymar kusawazisha katika dakika ya 71.
Kila timu sasa inaanza kujiandaa na mechi za marudiano ambazo zitatoa majibu timu ipi inakwenda nusu fainali.










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic