April 6, 2014

MGAMBO

Katika barua hii tumeambatanisha orodha ya baadhi ya wapenzi waliopatwa na mkasa huu.
Utamu wa Ligi Kuu Bara unaendelea baada ya Mgambo Shooting kuendeleza vipigo.

Mgambo Shooting leo ikicheza katika mechi dhidi ya Coastal Union, imeibuka na ushindi wa mabao 2-0, hivyo kuzidi kujiweka katika nafasi nzuri ya kubaki Ligi Kuu Bara.
Kabla ya hapo, Mgambo ilizitungua Yanga na Simba kwenye uwanja huo wa Mkwakwani.
Mechi nyingine mjini Arusha, wenyeji JKT Oljoro wamewaonyesha Prisons ‘rigwaride’ baada ya kuwachapa mabao 2-1.

Ushindi huo ni msaada mkubwa kwa Oljoro ambayo inachungulia shimo la kurejea Ligi Daraja la Kwanza.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic