April 27, 2014





Luis van Gaal ndiye anayepewa nafasi kubwa ya kutwaa nafasi ya David Moyes kuinoa Man United.

Tayari imeelezwa kocha huyo amependekeza Ryan Giggs na Patrick Kluivert kuwa wasaidizi wake.
Lakini wakati mambo yakipamba moto, kocha huyo ameonekana akicheza zake gofu.
Mapaparazi wamemnasa van Gaal akicheza gofu katika kitongoji cha Vale Do Lobo resort jijini Lisbon, Ureno huku akiwa hana presha.
Kocha huyo wa zamani wa Barcelona ameonekana kutokuwa na hofu hata kidogo kuichukua kazi hiyo ya kuinoa Man United.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic