May 5, 2014



Crystal Palace: Speroni, Mariappa, Dann, Delaney, Ward, Dikgacoi, Jedinak, Ledley, Bolasie, Puncheon (Gayle 65), Chamakh (Murray 71)
Subs: Hennessey, Gabbidon, Parr, O'Keefe, Ince
GOAL: Delaney 79, Gayle 81,88

Liverpool: Mignolet, Johnson, Flanagan, Skrtel, Sakho, Gerrard, Allen, Lucas, Sterling, Sturridge/Moses, Suarez
Subs: Jones, Toure, Agger, Coutinho, Aspas, Moses, Cissokho
Goal: Allen 18, Sturridge 53, Suarez 55
Liverpool sasa wamefikisha pointi 81 na mechi ya mwisho siku ya kufunga ligi watamaliza na Newcastle wakiwa nyumbani kwao Anfield. Kama Man City atashinda basi tatizo kwao kwa kuwa atachukua uongozi wa ligi. halafu akishinda mechi ya mwisho, moja kwa moja City bingwa.
City ana mechi dhidi ya Aston Villa halafu West Ham United na zote nyumbani. Akishinda zote, maana yake moja kwa moja ndiye bingwa na ndicho kimewachanganya Liverpool katika mechi ya leo hadi kufikia kuanza kulia.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic