Mshambuliaji Luis Suarez wa Liverpool ameumia mazoezini na ataikosa michuano ya Kombe la dunia inayonza mwezi ujao nchini Brazil.
Suarez ameumia goti wakati wa mazoezi ya timu yake
ya taifa ya Colombia na atatakiwa kuwa nje ya uwanja kuanzia wiki nne hadi
sita.
Mwenyewe ameonekana kuwa na majonzi lakini hana
ujanja kuwa ataikosa michuano hiyo.
Waingereza wameonekana kufurahia huku mashabiki
wengi wakionyesha furaha hiyo kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Facebook
na Instagram.
England ilikuwa inakipiga na Uruguay Juni 19 na mashabiki wake wanajua shughuli ya mbaguzi huyo ambaye ndiye mchezaji bora wa Ligi Kuu England .
0 COMMENTS:
Post a Comment