Kisa cha Luis Suarez wa Uruguay kumuuma Giorgio
Chiellini wa Italia kimemsaidia kijana mmoja kujiingizia fedha zaidi ya dola
900.
Kijana huyo aitwaye Thomas Syversen ameliambia gazeti
la Aftenposten kuwa alijua Suarez atafanya hivyo kwa kuwa ni mtu anayepaniki
kila mechi inapokuwa ngumu.
Kutokana na dola yake 5.30, yeye alijipania jumla ya
kroner 5,600 ambazo ni sawa na dola 960 kutokana na kushinda utabiri huo.
0 COMMENTS:
Post a Comment