Taarifa zinaeleza Michael Richard Wambura amepigwa chini
na kamati ya rufaa ya TFF.
Kamati hiyo imeungana na kamati ya uchaguzi ya Simba chini
ya Dokta Damas Daniel Ndumbaro ‘DDN’ ambayo ilimpiga chini Wambura kugombea
Simba baada ya kubaini alipiga kampeni kabla ya muda.
Rufaa yake aliyokata katika kamati ya rufaa ya TFF
ilisikilizwa leo kwenye hoteli ya Courtyard jijini Dar.
Taarifa zinaeleza wajumbe wa kamati walikuwa wanne baada
ya Jaji Jilius Lugziya kuomba udhuru, hivyo wanne wameamua kuwa kweli Wambura
alikuwa anakosa.
0 COMMENTS:
Post a Comment