COLOMBIA IMESONGA HADI HATUA YA ROBO FAINALI BAADA YA KUICHAPA URUGUAY KWA MABAO 2-0 KATIKA MECHI YA PILI YA HATUA YA 16 BORA.
VIJANA HATARI WA COLOMBIA, RODRIGUEZ NA JAMES NDIYO WALIOPELEKA MAUAJI KWA URUGUAY AMBAYO MWAKA 2010, ILIINGIA NUSU FAINALI BAADA YA KUITOA GHANA HUKU LUIS SUAREZ AKISHIKA MPIRA KWA MAKUSUDI. KUTOKANA NA USHINDI HUO, COLOMBIA SASA ITAKUTANA NA WENYEJI BRAZIL KATIKA MECHI YA KWANZA YA ROBO FAINALI ITAKAYOPIGWA JULAI 4. MECHI HIYO INATARAJIWA KUWA KALI KUTOKANA NA UWEZO MKUBWA WA TIMU ZOTE MBILI. |
0 COMMENTS:
Post a Comment