Baadhi ya wanachama ambao ni wafuasi wa Michael Wambura
tayari wametua mahakamani.
Taarifa zinaeleza wanachama hao wametua mahakamani wakitaka
uchaguzi mkuu wa Simba uliopangwa kufanyika Juni 29 kwa mujibu wa kamati ya
uchaguzi wa klabu hiyo na kuidhinishwa na TFF, usimamishwe.
Wanachama hao wanadai Wambura hakutendewa haki na kamati ya
uchaguzi ya Simba, pia ile ya rufaa ya TFF.
0 COMMENTS:
Post a Comment