July 5, 2014

PAMOJA NA KWAMBA HAJAANZA KUITUMIKIA YANGA KWENYE MECHI MBALIMBALI, KIUNGO MSHAMBULIAJI MPYA WA YANGA, ANDREY COUTINHO RAIA WA BRAZIL AMEKUWA AKIONYESHA MAKEKE NAMNA YA KUUCHEZEA MPIRA.
COUTINHO AMEKUWA AKIFANYA MAMBO KAMA YALE YA KIUNGO NYOTA WA ZAMANI WA BARCELONA NA BRAZIL, RONALDINHO KWA KUUCHEZEA MPIRA HUKU AKIUGANDISHA KWENYE VIUNGO VYAKE MBALIMBALI VYA MWILI KAMA MKONO, BEGA, MGONGO, NYUMA YA MGUU, KICHWANI NA SEHEMU NYINGINE, ILI MRADI MBWEMBWE TU ZA KIBRAZIL.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic