Kamati ya usajili chini ya Mwenyekiti, Zacharia Hans Poppe imeonyesha haitaki utani baada ya kufikia asilimia 95 ya mazungumzo ya kuwanasa kiungo nyota wa zamani wa
Simba, Jerry Santo na kipa wa Mtibwa Sugar, Hussein Sharrif 'Cassilas'.
Wajumbe wengine wa kamati hiyo ya usajili ni Said Tully, Musley Al Rawah na Kassim Dewji.
Wajumbe wengine wa kamati hiyo ya usajili ni Said Tully, Musley Al Rawah na Kassim Dewji.
"Kuna mambo kidogo ya kumalizia ndiyo yamelazimisha aje ndani ya siku mbili mbele."
Kuhusiana na Cassillas imeelezwa mazungumzo yako katika hatua nzuri.
Kipa huyo na Mtibwa wataigharimu Simba kitita cha Sh milioni 20.
Casillas ndiye alikuwa kipa bora msimu uliopita licha ya kwaba Mtibwa Sugar haikuwa hata kwenye tatu bora.
0 COMMENTS:
Post a Comment