MSHAMBULIAJI DEMBA BA AMETUA BESIKTAS YA UTURUKI NA KUKABIDHIWA JEZI NAMBA TISA. BA RAIA WA SENEGAL AMEKABIDHIWA JEZI NAMBA 9 AMBAYO ATAKUWA ANATUMIKIA. TIMU HIYO WAPINZANI WA GALATASARAY WAMELAZIMIKA KUTOA KITITA CHA PAUNI MILIONI 8 KUMNASA MSENEGALI HUYO KUTOKA KATIKA MIKONO YA JOSE MOURINHO.
0 COMMENTS:
Post a Comment