July 5, 2014



Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), limeanza uchunguzi kufuatilia faulo iliyomuumiza na kumuondoa Neymar wa Brazil.
Neymar amevunjika mfupa wake wa mgongo na kulazimika kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia.

Aliumia dakika tano kabla ya kwisha mechi ya robo fainali ya Kombe la Dunia wakati Brazil inaivaa Colombia.

Beki wa Colombia, Juan Zuniga alimrukia Neymar kwa goti mgongoni na kumuumiza.
Brazil ilishinda mabao 2-1 na kusonga mbele hatua ya nusu fainali lakini madaktari wamesema itamkosa mshambuliaji huyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic