July 18, 2014



Mshambuliaji wa Ujerumani ambaye alifunga bao pekee lililoipa nchi hiyo Kombe la nne la Dunia ameamua kula ‘mibata’ tu.

Gotze alioneakana akiwa kwenye boti ya kifahari katika ufukwe wa Ibiza akiwa na mpenzi wake, Ann-Kathrin.
Mshambuliaji huyo nyota wa Bayern Munich, ndiye alifunga bao pekee katika mechi ya fainali dhidi ya Argentina na Ujerumani kutawazwa mabingwa wapya wa Kombe la Dunia.













0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic