Bosi wa Simba, Zdravko Logarusic amesema
hakutakuwa na mzaha na suala la nidhamu litaendelea kuwa juu.
“Suala la nidhamu litaendelea kubaki pale pale,
hivyo watu wlaichukulie kwa umuhimu wa juu sana, hakutakuwa na mzaha.
“Nataka watu wanaojituma, wanaotaka kufanikiwa,
hiyo ndiyo ninayoihitaji,” alisema Loga ambaye aliifundisha Simba nusu msimu
katika msimu uliopita.







0 COMMENTS:
Post a Comment