HII ILIKUWA NI BARUA KUTOKA FIFA KWENDA TFF AMBAYO ILIKUWA INAENDELEA
NAMNA AMBAVYO TFF INAVYOWEZA KULISHUGHULIKIA SUALA LA OKWI HUKU IKIELEZA
ANAWEZA KUCHEZA YANGA KWA KUWA SUALA LAKE LA MADAI DHIDI YA ETOILE DU SAHEL NI
TOFAUTI.
KUPITIA BARUA HII, TFF IKAMUIDHINISHA OKWI KUCHEZA YANGA WAKATI HUO
SIMBA ILIKUWA IKIENDELEA KUIDAI ETOILE DOLA 300,000 ZA MAUZO.
SWALI, FIFA
INAWEZA KUINGILIA SUALA HILI KAMA YANGA ITASHITAKI NA JE, ITACHUKUA UAMUZU WA
KUMUIDHINISHA OKWI ACHEZE SIMBA WAKATI ANAENDELEA KUDAIANA NA YANGA AMBAYO
INAMDAI NA YEYE AMEELEZA KUWA ANAIDA?
|
0 COMMENTS:
Post a Comment