August 5, 2014

LOGA NA CHAMPIONI, UTAMWELEZA NINI.
  
Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic jana alilkuwa bize ile mbaya akiperuzi gazeti bora la michezo nchini la Championi.
Loga raia wa Croatia alitumia muda mwingi akiwa na gazeti hilo, kama mtu anayeelewa Kiswahili.

Hata hivyo haikueleweka vizuri kama Kiswahili cha kusoma ‘kinapanda’ vizuri au alikuwa akicheki mapicha tu.
Muda mwingi kila anaposoma alikuwa akicheka na baadaye akaomba kufafanuliwa zaidi headline iliyokuwa inasema “Loga aingia anga za Maximo”.
Baada ya kufafanuliwa, kama kawaida, Loga akasema: “Maximo ndiyo kaingia anga zangu”, waandishi wa Championi na staff wa Simba waliokuwa eneo hilo, wakaangua kicheko.
LOGA AKIWA NA WAANDISHI WA CHAMPIONI, HANS MLOLI 'YOO' NA GOODLUCKY NGAI.

AKIENDELEA KUPATA UTAMU WA CHAMPIONI.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic