August 5, 2014


Simba imefikia makubaliano ya kitu na beki Abdi Banda wa Coastal Union na amekubali kusaini mkataba wa miaka mitatu.
Beki huyo wa kushoto wa Coastal Union, amekubali kuvaa uzi wa Msimbazi kuanzia msimu ujao.

Taarifa zimeeleza, tayari Banda ameanguka mkataba baada ya kuvunja mkataba wake na Coastal Union.
Banda ameng’ara akiwa na Coastal Union katika msimu uliopita kutokana na kucheza kwa uwezo mkubwa nafasi ya beki wa kushoto.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic