August 9, 2014

RAIS TFF, JAMAL MALINZI


Maofisa wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) wanawasili nchini kesho (Agosti 10 mwaka huu) kuangalia jinsi mchezo huo unavyoondeshwa nchini.


Katika taarifa iliyotolewa na Msemaji wa TFF, Boniface Wambura imesema Ujumbe huo wa Fifa utakaokuwa na maofisa sita.
Baada ya ziara yao watashauri jinsi ya kuboresha uendeshaji huo katika kikao cha pamoja kati yake na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kitakachofanyika mwishoni mwa wiki ijayo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic