August 8, 2014



RAMA (MWENYE JEZI YA BLUU), TAYARI AMETUA JIJINI DAR.

 Mshambuliaji Jerome Ramatlhakwane ametua jijini Dar es Salaam, tayari kwa kuanza majaribio katika kikosi cha Simba.

Mshambuliaji huyo raia wa Botswana ametua na kupokelewa na Meddy, kiongozi wa Simba.
Taarifa zinasema, Rama ataanza mazoezi leo na kesho anatarajia kucheza katika tamasha la Simba Day

Umri wake ni miaka 19, Mazembe iliamua kumpeleka Don Bosco kwa mkopo, timu hiyo inamilikiwa na mtoto wa Moise Katumbi, mmiliki wa TP Mazembe.

Kaichezea timu ya taifa ya Botswana mechi 37, kafunga mabao 20, moja likiwa dhidi ya Taifa Stars, Julai Mosi, mwaka huu, Deo Munishi ‘Dida’ akiwa langoni na Stars ikalala 4-2.

Pamoja na kucheza kwao Botswana, amecheza pia Afrika Kusini katika 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic