August 27, 2014



Mshambuliaji nyota wa Barcelona, Neymar amesema kama asingekuwa mwanasoka, basi angekuwa mwanamuziki.


“Kweli kabisa kama nisingekuwa mcheza soka, basi ninegkuwa mcheza soka,” alisema Neymar.
“Sasa siwezi kucheza lakini kuna aina ya muziki ambao ninaupenda na ninaweza kucheza,” alisema Neymar.
Neymar amekuwa akisifika kutokana na kucheza dansi na mara nyingi wakati akiwa Santos alikuwa akiingia matatani na klabu yake kutokana na kukimbia kwenye dansi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic