August 15, 2014

Baada ya adhabu ya Fifa kupunguzwa makali, Luis Suarez ameanza mazoezi na kikosi cha Barcelona.

Pamoja na Suarez kuanza mazoezi, mshambuliaji mwingine, Neymar, naye ameanza mazoezi na kikosi hicho, hali ambayo inaongeza matumaini kwa benchi la ufundi la Barcelona.

Aidha, kiungo Mcameroon, Alex Song ambaye ilielezwa anaweza kwenda England, naye ameonekana anajidai akiwa na wenzake wa Barcelona, mazoezini.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic