August 15, 2014



Simba imetua mjini Unguja tayari kuanza kambi ya kujiandaa na msimu mpya.

Hata hivyo, kikosi cha Simba kimetua Zanzibar bila ya kocha wake, Patrick Phiri.
Selemani Matola ambaye ni kocha Msaidizi, ndiye atakiongoza kikosi hicho.
Kwa mujibu wa uongozi wa Simba, Phiri ambaye juzi amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuinoa Simba, atawasili Zanzibar kesho kuendelea na kazi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic