August 9, 2014


Barcelona imefanikiwa kumsainisha nahodha wa Arsenal, Thomas Vermaelen kwa kitita cha pauni milioni 15.

 Vermaelen anatua Barcelona kwa mkataba wa miaka mitano na kupitia mtadao wa Twitter, Barcelona imthibitisha kuwa amefuzu vipimo vya afya.
Vermaelen takuwa akilamba pauni 80,000 kwa wiki mara baada ya kutua Barcelona.
Awali Man United ilimtaka kwa juhudi, lakini Arsenal ikagoma kumuuza kwenye timu za Ligi Kuu.
Lakini kuna taarifa sasa kuwa Arsenal inamhitaji Cris Smalling ili aongeze nguvu kwenye ulinzi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic