August 5, 2014

KOCHA WA YANGA, MAXIMO NA MSAIDIZI WAKE, LEIVA.


Klabu za Ligi Kuu ya Vodacom zikiwemo Yanga, Simba na Azam FC na zile Ligi Daraja la Kwanza (FDL) zinatakiwa kuwasilisha Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) orodha ya watendaji wa mabenchi yao ya ufundi yakiongozwa na Kocha Mkuu.


Ni wajibu wa klabu kuhakikisha zinatekeleza maagizo hayo kwani ni matakwa ya Kanuni za VPL na zile za FDL.

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara itaanza kutimua vumbi Septemba 20 mwaka huu wakati ile ya FDL inatarajia kuanza Oktoba mwaka huu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic