ABDI BANDA (KULIA) NA EMMANUEL OKWI (ANAYEMFUATIA) WAKIWA MAZOEZINI SIMBA LEO MARA BAADA YA KAMATI YA SHERIA NA HADHI ZA WACHEZAJI YA TFF KUWAPITISHA KUICHEZEA SIMBA BADALA YA YANGA NA COASTAL UNION, JANA. SIMBA ILIENDELEA NA MAZOEZINI YAKE LEO KATIKA ENEO LA BUNJU CHINI YA KOCHA WAKE PATRICK PHIRI RAIA WA ZAMBIA.
0 COMMENTS:
Post a Comment