September 30, 2014

Mshambuliaji Gareth Bale ameonyesha vuatu vyake vipya vya Adidas vikiwa na picha ya dragon.
Bale atavitumia viatu hivyo kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kesho dhidi ya Ludogorets.


Kiatu hicho kimebuniwa na Mjapani, Yohji Yamamoto.
Bale ni kati ya wanamichezo ambao hutengenezewa viatu maalum na kampuni ya Adidas kwa kuwa ni kati ya watangazaji wazuri.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic