DIEGO COSTA AMEPIGA BAO TATU 'HAT TRICK' WAKATI CHELSEA IKIITWANGA SWANSEA KWA MABAO 4-2 KATIKA MECHI YA LIGI KUU ENGLWAND ILIYOPIGWA LEO KWENYE UWANJA WA STAMFORD BRIGDE JIJINI LONDON. BAO JINGINE LA CHELSEA LILIFUNGWA NA LOIC REMY. WAKATI YALE YA SWANSEA, JOHN TERRY ALIANZA KUJIFUNGA KABLA JONJO SHELVEY KUFUNGA JINGINE.
0 COMMENTS:
Post a Comment