MASHABIKI ENGLAND NI SHIDAAAAA! CHEKI WAKIWA SWISS LEO MCHANA WAKISUBIRI MECHI LEO DHIDI YA WENYEJI KINA BABA, MASHABIKI WA ENGLAND! Hawa ni mashabiki wa England wakiwa mitaani jijini Basle wakisubiri kuishangilia timu yao dhidi ya Uswiss, leo. Ingawa imecheza mechi zaidi ya tano bila ya ushindi, wachezaji wamesisitiza wako nyuma ya kocha wao Roy Hogdson na wanaamini watafanya vizuri.
0 COMMENTS:
Post a Comment