Shujaa wa England, Danny Welbeck leo amerejea kwao England akiwa na kikosi cha timu hiyo.
Lakini picha zilizopigwa na waandishi wa Daily Mail zimeonyesha akiwa na wash bag (beki dogo la kubebea vifaa) ambalo alipewa akiwa Man United.
Wengine wanaamini alipaswa kuonekana na beki dogo linalotumiwa na wachezaji wa Arsenal, lakini huenda bado ana mapenzi kidogo.
Hata stori, Welbeck alionekana akiwa zaidi na wachezaji wa Manchester United ya Louis van Gaal ambayo imekubali atue Arsenal kwa pauni milioni 16.
Welbeck alifunga mabao yote mawili wakati England ilipoilaza Uswiss 2-0 katika mechi ya kuwania kucheza michuano ya Euro.

![]() |
| AKIWA NA KIBEGI HICHO, HAPA WAKATI AKIWA MAN UNITED. |
![]() |
| AKITEREMKA KWENYE NDEGE AKIWA NA KIBEGI HICHO |

0 COMMENTS:
Post a Comment