Kiungo nyota wa Ivory
Coast, Cheick Tiote ameutetea uamuzi wake wa kuoa mke wa pili.
Tiote anayekipiga kwenye
klabu ya Newcastle amesema hakuna jambo la ajabu kwake kuoa mke wa pili wala
hatakuwa mtu wa kwanza au wa milioni kufanya hivyo.
Kiungo anayelipwa pauni
45,000 kwa wiki amefunga ndoa na Laeticia Doukrou, ndoa ya kijadi.
Lakini tayari ana mkewe, Madah,
25, ambaye wamezaa naye watoto wawili.
|
0 COMMENTS:
Post a Comment