RAIS WA SIMBA, EVANS ELIEZA AVEVA NA ALIYEKUWA MPINZANI
WAKE KWENYE UCHAGUZI WA SIMBA KABLA YA KUENGULIWA, MICHAEL RICHARD WAMBURA,
JANA WALISHUHUDIA PAMOJA MECHI YA KIRAFIKI KATI YA TAIFA STARS DHIDI YA BENIN.
MECHI HIYO ILIPIGWA KWENYE UWANJA WA TAIFA NA
AVEVA NA WAMBURA WALIKAA PAMOJA WAKIWA WAMETENGANISHWA NA SITI MOJA TU
ILIYOKUWA NA MTU MWINGINE.
HATA HIVYO, WAWILI HAO WALIKUWA SIRIAZ KINOMAAA.
EEH!
0 COMMENTS:
Post a Comment