October 9, 2014


Mshambuliaji Diego Costa anayeongoza kwa mabao kwenye Ligi Kuu England, sasa yuko tayari kwa ajili ya kuanza kuifungia mabao timu yake ya taifa ya Hispania.

Hispania ina kibarua kigumu wikiendi hii katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Mataifa ya Ulaya ya mwaka 2016 dhidi ya Slovakia.
Tayari kikosi cha Hispania kimetua mjini Luxembourg na mazoezi aliyofanya Costa akiwa na kikosi hicho, imeonekana tatizo lake la nyama limepona.
Kama limepona, lazima kocha Vicente del Bosque ataanza na mshambuliaji huyo.
Wengine alioungana nao katika kikosi hicho wakitokea Ligi Kuu England ni Cesc Fabregas  wa Chelsea, David Silva kutoka Man United na kipa David de Gea kutoka Man United.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic