October 9, 2014



Picha ya viungo wa zamani wa Arsenal, Patrick Vieira na Roy Keane wa Manchester United wakiwa pamoja, wanazungumza na kutabasamu wakati wa uchambuzi kwenye runinga, ndiyo imeangaliwa zaidi ndani ya mwezi mmoja.

Picha hiyo imeonyesha kuwavutia wengi kutokana na namna walivyoonekana tofauti na ilivyozoeleka.

Wawili hao walikuwa wakijulikana kwa kupambana hata kushikana wakitaka kuzichapa wakati wakiwa manahodha wa Arsenal na Manchester United.
Lakini picha hiyo ilionyesha mambo tofauti kabisa, hivyo kuwafurahisha wengi.

KEANE
Umri: 43 
Nchi: Jamhuri ya Ireland
Nafasi: Centre midfield
Klabu: Cobh Ramblers, Nottingham Forest, Manchester United, Celtic.
Mataji aliyoshinda: 7x Premier Leagues titles, 4x FA Cups, 1x Champions League, 1x Intercontinental Cup, 1x Scottish Premier League, 1x Scottish League Cup.
Mechi timu ya taifa: 67
Akiwa Kocha: 1x Championship title.

VIEIRA:
Umri: 38
Nchi: Ufaransa
Nafasi: Centre midfield
Klabu: Cannes, AC Milan, Arsenal, Juventus, Inter Milan, Manchester City. 
Major Honours: 3x Premier Leagues titles, 5x FA Cups, 5x Serie A titles.
Mechi timu ya taifa: 107
Makombe timu ya taifa: 1x World Cup, 1x European Championship, 1x Confederations Cup. 



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic