Kiungo nyota wa zamani, Pau Gascoigne ‘Gazza’ ameonekana akiwa na
mlimbwende akikatiza mitaa.
Gazza amekuwa katika wakati mgumu kutokana na kujihusisha na
kilevi kupindukia.
Imeelezwa baada ya kumpata mwanamama huyo amepunguza ulevi kwa
kiasi kikubwa.
Lakini picha zinaonyesha hata wakati yuko na mrembo huyo wa umri
wake, macho yanaonyesha alikuwa ‘ameonja’ kwa wingi.
0 COMMENTS:
Post a Comment