GAZETI LA WATU…
Bibi aliyefahamika kwa jina la Gertrude akisoma kipeperushi kilichokuwa ndani ya Gazeti la Championi mara tu baada ya kulinunua katika eneo la Mabatini jijini Mwanza, hivi karibuni. Getrude ni msomaji mzuri wa gazeti hilo bora la michezo kwa sasa nchini.
PICHA: JOHNSON JAMES.
Dereva bodaboda ambaye jina lake halikupatikana
akiwa akiwa anasoma Gazeti la Championi kama alivyokutwa na mpigapicha jijini
Dar es Salaam.
PICHA: issamichuzi.blogspot.com
0 COMMENTS:
Post a Comment